HATA SISI TUMO
Swala la utandawazi limeonekana kuingia sehemu kubwa ya dunia hata vijijini ambako zamani walikuwa wakipata habari baada ya mwezi mmoja.
Kwa sasa hali ni tofauti kwani wananchi wengi wamepata uwezo wa kumiliki vifaa vya habari kama vile Radio hata madish kama Camera yetu ilivyokuta huko katika kijiji cha Chivu.
Hii ni nyumba iliyokutwa tulioiona huko Chivu na wanamiliki satellite dish kwa ajili ya kupata kianchoendelea duniani.
hii ni nyumba iliyoko huko katika kijiji cha chivu |
No comments:
Post a Comment